Swahili
Kutoa na Kupokea Ushauri wa Maisha – Giving and Receiving Life Advice
abigail
This activity provides Swahili learners with the opportunity to learn common vocabulary and questions related to giving and receiving life advice.
Malengo ya Somo – Mwisho wa somo, wanafunzi wataweza:
- Kuomba ushauri kuhusu matatizo ya maisha.
- Kutoa ushauri kwa heshima.
- Kufanya mazungumzo ya kusaidiana.
Maneno Muhimu ya Kuomba Ushauri:
- Unaweza kusema:
- Unafikiri nifanye nini?
- Una ushauri wowote?
- Ungefanya nini kama ungekuwa mimi?
- Ninaweza kufanya nini katika hali hii?
- Kwa mfano: Nina matatiza kazini na ninahisi msongo wa mawazo. Unafikiri nifanye nini?
Njia ya Kutoa Ushauri
- Kutumia “unapaswa…”
- Kwa mfano: “Unapaswa kuzungumza na bosi wako kuhusu kazi nyingi.”
- Kutumia “kama ningekuwa wewe…”
- Kwa mfano: “Kama ningekuwa wewe, ningepumzika kidigo na kupanga kazi yangu vyema.”
- Kutumia “inaweza kusaidia…”
- Kwa mfano: “Inaweza kusaidia kama utaongea na rafiki.”
Kujibu Ushauri
- Kukubali ushauri
- Hilo ni wazo zuri.
- Asante kwa ushauri.
- Nitajaribu kufanya hivyo.
- Kujibu ya upande wowowte
- Nitafikiria kuhusu hilo.
- Hiyo ina maana.
The activity below presents three different scenarios that people may ask advice about including: work problems, friend problems, and work-life balance. Each scenario has three different categories that someone can request advice for. For example, the first scenario refers to asking for advice about a work challenge. The scenario says that you do not like your job but you are anxious to quit. The activity asks you to request advice about (1) changing your job, learning new skills, or overcoming anxiety around the situation.
Hali ya Kuigiza:
- Tatizo la Kazi
- Hupendi kazi yako lakini unaogopa kuacha.
- Omba ushauri kuhusu:
- Kubadilisha kazi
- Kujifunza ujuzi mpya
- Kushinda hofu
- Omba ushauri kuhusu:
- Hupendi kazi yako lakini unaogopa kuacha.
- Tatizo la Marafiki
- Una rafiki unahuzunisha mara kwa mara.
- Omba ushauri kuhusu:
- Kuzungumza naye
- Kumaliza urafiki
- Kutatua tatizo
- Omba ushauri kuhusu:
- Una rafiki unahuzunisha mara kwa mara.
- Usawa wa Maisha
- Unafanya kazi sana na huna muda wa kupumzika.
- Omba ushauri kuhusu:
- Kupanga muda
- Kupumzika zaidi
- Kuboresha afya ya akili
- Omba ushauri kuhusu:
- Unafanya kazi sana na huna muda wa kupumzika.