Final Assessment

Insha ya kujumlisha ulichojifunza

Wanafunzi wakiandika darasani Mombasa
Jump to Tips for instructors

Chagua mada yo yote inayovutia kuhusu dini Afrika ya Mashariki, na ufanye utafiti juu yake katika vitabu, makala, na mtandao. Fanya mahojiano na angalau mtu mmoja asemaye Kiswahili. (Unaweza kumhoji mtu kwa mtandao ikiwa hakuna wasemaji wa Kiswahili unakoishi.)

Weka kila unachojifunza pamoja kwenye insha ya kurasa tano au zaidi. Ikiwa huna mwalimu wa Kiswahili, weka insha yako kwenye blogu yako ili wasomaji wa Kiswahili waisome.

Baada ya kuandika insha yako, utawasilisha darasani.

Permissions and credits

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Dini Afrika ya Mashariki by Katrina Daly Thompson is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.