Unit 3: Reading

Religious metadiscourse

Proficiency Objectives

  • Deliver a short presentation on social and cultural topics
  • Follow simple written instructions

Content Objectives

  • Understand and use key religious vocabulary
  • Give a short presentation on some key concepts in a major East African religion
  • Discuss similarities and differences among major East African religions
Jump to Tips for instructors
A large baobab tree said to house spirits

Kabla ya kusoma

Unakumbuka maneno gani yanayotumiwa kutaja viumbe visivyoonekena? Andika orodha ya maneno hayo.

Soma

Soma mahojiano yangu na Mustafa (Primary Source 2). Si lazima kufahamu kila neno. Uwe mwangalifu kuhusu msamiati mpya.

Baada ya kusoma

Zoezi la kwanza

Zoezi la pili

  • Chagua neno moja la viumbe visivyoonekana (k.m. Mungu, miungu, roho, pepo, mzimu, jini, shetani, malaika), au ukiwa mwanafunzi darasani mwalimu wako akuchagulie.
  • Soma kwa bidii na kwa uangalifu Mustafa anasemaje kuhusu neno hilo.
  • Fanya utafiti zaidi kuhusu neno hilo katika kamusi mbalimbali, mtandao, au/na vitabu. Waislamu wanatumia neno hilo kivipi? Wakristo wanalitumiaje? Wafuasi wa dini za kienyeji wanalitumia vipi?
  • Ukiwa mwanafunzi darasani, tayarisha wasilisho la dakika tano hivi kuhusu ulivyojifunza. Utawasilisha darasani mbele ya wenzako. Ikiwa unajifunza peke yako, tayarisha video ya wasilisho lako na kuiweka kwenye blogu yako.
Permissions and credits

 

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Dini Afrika ya Mashariki by Katrina Daly Thompson is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.