Sehemu ya 1: Kaburi la Nani?
Kazi ya Nyumbani: VoiceThread
Tengeneza video ya VoiceThread ya dakika 3-5, halafu uweke tovuti (link) kwenye “discussion section” ya Canvas. Ukihitaji picha kwa video yako, zinapatikana hapa. Angalia video hii, ukihitaji kujifunza kuhusu VoiceThread.
Masharti ya video ni:
- Usimulie muhtasari wa hadithi
- Utumie maneno 10 kutoka orodha ya msamiati.
- Utumie subjunctive mara 5
- Utoe maoni yako kuhusu sehemu ya 1. Umeonaje wahusika? Umependa nini? Hujapenda nini? Una utabiri gani?