Sehemu ya 2: Fursa

Wahusika

Edo– Edo ni rafiki ya James.Wanashiriki pamoja katika kazi ya usafirishaji wa madawa kwa Elias.

Mkurugenzi– Mkurugenzi ni bosi wa Frank. Anasimamia miradi tofauti ya ardhi na umeme.

Weston– Weston anafanya kazi na Elias. Anamsaidia kupata dawa.

Wafanyakazi wa halmashauri– Hawa wanafanya kazi na Frank kwa halmashauri.

Mwekezaji– Mwekezaji anataka kununua shamba fulani kwa biashara yake. Anakutana na Frank kupata msaada.

License

Binadamu Copyright © 2018 by Rebecca Mandich. All Rights Reserved.