Sehemu ya 1: Kaburi la Nani?

Hadithi hii inafuata maisha ya kaka watatu, Elias, Frank, na James. Tunaona maisha yao ya zamani, na maisha yao ya sasa. Katika sehemu hii tunaona safari yao ya kuenda kwa mganga. Isipokuwa mganga anakubali kuwapa wanachotaka, bado hatujui sharti lake ni nini?

License

Binadamu Copyright © 2018 by Rebecca Mandich. All Rights Reserved.