Sehemu ya 1: Kaburi la Nani?

Kazi ya Nyumbani: VoiceThread

Tengeneza video ya VoiceThread ya dakika 3-5, halafu uweke tovuti (link) kwenye “discussion section” ya Canvas. Ukihitaji picha kwa video yako, zinapatikana hapa. Angalia video hii, ukihitaji kujifunza kuhusu VoiceThread.

Masharti ya video ni:

  1. Usimulie muhtasari wa hadithi
  2. Utumie maneno 10 kutoka orodha ya msamiati.
  3. Utumie subjunctive mara 5
  4. Utoe maoni yako kuhusu sehemu ya 1. Umeonaje wahusika? Umependa nini? Hujapenda nini? Una utabiri gani?

License

Binadamu Copyright © 2018 by Rebecca Mandich. All Rights Reserved.