Sehemu ya 2: Fursa

Maswali

  1. James ana kazi mbili gani?
  2. James ana changamoto gani katika kazi yake?
  3. Kitu gani kimenuka katika sehemu ya nyuma ya gari?
  4. Weston ana habari gani kwa Elias?
  5. Elias amefanya nini kumsaidia Weston zamani?
  6. Kwa nini Frank amekasirika na mkurugenzi?
  7. Kwa nini Frank anakutana na mwekezaji peke yake?
  8. Nani anamiliki ardhi inayojadiliwa?
  9. Brenda anafanya nini kumtuliza James?
  10. Frank anamwambia Elias mdogo nini katika sini ya mwisho?

License

Binadamu Copyright © 2018 by Rebecca Mandich. All Rights Reserved.