Sehemu ya 2: Fursa
Maswali
- James ana kazi mbili gani?
- James ana changamoto gani katika kazi yake?
- Kitu gani kimenuka katika sehemu ya nyuma ya gari?
- Weston ana habari gani kwa Elias?
- Elias amefanya nini kumsaidia Weston zamani?
- Kwa nini Frank amekasirika na mkurugenzi?
- Kwa nini Frank anakutana na mwekezaji peke yake?
- Nani anamiliki ardhi inayojadiliwa?
- Brenda anafanya nini kumtuliza James?
- Frank anamwambia Elias mdogo nini katika sini ya mwisho?