"

Main Body

Video 1: Sherehe ya wanawake

Exercises

  1. Hii ilikuwa ni siku gani?
  2. Siku ilizinduliwa na nani?
  3. Fikiri kwamba wewe ni kiongozi wa kina mama. Kuna mkutano wa kuzungumza kuhusu maendeleo ya wanawake. Andaa hotuba ya dakika tatu utakayosema kwa wanawake kuhusu mipango ya maendeleo. Rekodi hotuba yako kama sauti kisha mpelekee mwalimu.

 

License

Materials for Swahili Learners Copyright © by kdthomp3. All Rights Reserved.

Share This Book