USAFIRI NCHINI KENYA

Vyombo vya Usafiri

Haya ni baadhi ya vyombo vya usafiri nchini Kenya ambavyo unawezatumia kusafiri kutoka upande moja hadi mwingine. Unapochagua chombo cha usafiri, unapaswa kujua ni wapi unapokwenda. Kwa mfano, ukitaka kusafiri kutoka Nairobi hadi Mombasa, unaweza kusafiri kwa njia ya basi, motokaa au hata ndege.

License

Materials for Swahili Learners Copyright © by kdthomp3. All Rights Reserved.