Main Body

Utangulizi

Kenya ni nchi iliyobarikiwa na vitu vingi. Kuna mandhari mazuri, watu wapole na wenye bidii, tamaduni mbalimbali na hata vyakula vya kila aina. Watalii wanapotembela Kenya, wanajihusisha na mambo mengi kama vile kutangamana na wenyeji katika tamasha mbalimbali, kukwea milima, kushiriki katika mbio za magari na mambo mengine mengi ya kujiburudisha.

Katika somo hili, tutajifunza kuhusu njia mbalimbali ambazo unaweza kujiburudisha ukiwa Kenya.

License

Materials for Swahili Learners Copyright © by kdthomp3. All Rights Reserved.