"

Main Body

Sehemu ya Pili

Chizi anasema “waoneni watu hawa hawapendi demokrasia nikisema yote mie wananiita mie chizi”

Katika video hii hapa chini, kiongozi wa Comoro anasema kuwa kuna demokrasia Comoro. Je, unadhani hii ni kweli?

License

Materials for Swahili Learners Copyright © by kdthomp3. All Rights Reserved.

Share This Book