Sura ya tisa [9]
67 Msamiati
- Jikunyata – embrace oneself (reflexive action)
- Tota – soaking wet (v)
- Pitiliza – go beyond (from pita – pitia – pitilia (double appl.) – pitiliza – causative)
- ashama – achama – open mouth wide (v.)
- Timuliwa – from TIMUA – pangua kitu kilichowekwa au kupangwa vizuri kiwe ovyoovyo – timua nywele. Nywele timtimu – zisizokuwa na mpango mzuri
- Kumetundikwa – from TUNDIKA – suspend/hang.
- Sanamu – statue/sculpture
- Bilauri – drinking-glass
- Tazama pembeni – face away/aside
- Ndala – slippers
- Pandwa na mori – become furious/lose temper
- Kichaa – madness
- Ghadhabu – anger
- Tia jino – bite
- Fokewa – from FOKA – gush (in speaking, in this context)
- Ukabila – tribalism
- Mweusi kama chungu – black like a pot
- Kinyaa – repugnance/disgust
- Ghilibu – cheat/get the better of
- Halali – legitimate
- Pandikizi la mtu – huge person
- Asi – rebel/revolt
- funza/mafunza – worm/worms
- Kamari – gambling game
Feedback/Errata