Sura ya kumi [10]

64 Usafirishaji (picha)

Boti ikikaribia Nansio.

 

Boti ikiingia bandarini, Nansio.

Boti “Butiama” imeingia bandarini.

 

Nansio Port.

 

Mwandishi Kezilahabi akitoka botini.

 

Mchezo wa Kuigiza

Chukulia babake Rosa amekuja kumpokea katika bandari ya Nansio. Andika mswada kuhusu mazungumzo kati ya Rosa na babake.

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Mazoezi ya Rosa Mistika by Magdalena Hauner is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.