Sura ya kwanza [1]

4 Video 3: Chakula

 

 

Exercises

1.Familia ya Bwana na Bibi Mwisongo wanafanya nini kwenye Video?

2. Tazama Video tena na utaje vyakula wanavyokula.

3. Katika aya moja, taja tofauti kati ya familia ya Mwisongo ya ile ya Zakaria kwenye Rosa Mistika.

4.  Eleza ni nini kinachofanyika kwanzia chakula kifikapo mezani hadi mwisho wa kula.

 

 

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Mazoezi ya Rosa Mistika by Magdalena Hauner is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.