Sura ya kwanza [1]
4 Video 3: Chakula
Exercises
1.Familia ya Bwana na Bibi Mwisongo wanafanya nini kwenye Video?
2. Tazama Video tena na utaje vyakula wanavyokula.
3. Katika aya moja, taja tofauti kati ya familia ya Mwisongo ya ile ya Zakaria kwenye Rosa Mistika.
4. Eleza ni nini kinachofanyika kuanzia chakula kifikapo mezani hadi mwisho wa kula.
Feedback/Errata