Sura ya tisa [9]
64 Mazingira (picha)
Ufukwe wa Bugorola, Ukerewe
Motokaa ya Mkuu wa Wilaya, Ukerewe
Exercises
Tazama picha hizi kisha jibu swali.
- Kama wewe ni Rosa. Mkuu wa wilaya anataka kukupeleka “Beach.” Baba yako hataki. Andika majibizano yako na baba yako, leta kwa mwalimu darasani.
Feedback/Errata