"

Sura ya tatu [3]

23 Msamiati

  1. Dunda (v.) – sometimes dundadunda – pulsate/beat/throb (Kwa nini moyo wa Rosa ulimdunda?)
  2. Miluzi (n.) (mluzi – sing. M/MI) – cat call/whistle (Kwa nini vijana waliwapigia miluzi Rosa na Flora?)
  3. Nusurika (v) (stative of nusuru (save/defend)) – be saved from danger (Kwa nini Rosa na Flora wanaendelea kukimbia kama ndege walionusurika – like birds that had been saved from danger?)
  4. Kaa (v.) – in this context, fit (clothing) but also means stay/live (Rosa alifanya nini kuhakikisha viatu vinamkaa?)
  5. Haidhuru (interj.) – alright/never mind – Mhindi ana maana gani anaposema, “Kumi na tisa haidhuru”? Ordinally haidhuru is the negation of inadhuru (it does harm).
  6. Mmatumbi (n.) – Wamatumbi are an ethnic community from Tanzania. Je, Ndalo alikuwa Mmatumbi?
  7. Umati (n) – U class – crowd. Kwa nini umati wa watu ulikuwa umekwishakusanyika?
  8. Mkasi (n.) – scissors (M/MI class) also makasi. Mkasi ulifanya sauti gani juu ya kichwa cha Rosa?
  9. Ning’inia (v.) – hang and swing/dangle – kitu gani kilikuwa kikining’inia kati ya kucha za mwewe?
  10. Shibe (n.) –  N/N class repletion/satiation – from shiba (v.) (be sated/be full) kwa nini mwewe alikuwa na shibe?
  11. Menya (v) – husk/peel/shell. Regina alikuwa akimenya nini Rosa na dada zake waliporudi kutoka kanisani?
  12. Foka (v.) – shout/yell but it can also mean boil over like a pot does. Kwa nini Regina alimfokea Stella?
  13. Toba (n.) – N/N class –  pardon – from tubu (v.) – repent
  14. Kufumba (v.) – shut (mouth,eyes) but funga mlango, dirisha, etc. fumba points to enclosing. Kwa nini Rosa hakupata usingizi alipojaribu kufumba macho?
  15. Kushurutishwa (v.) – be forced – the passive of kushurutisha – to force. Kwa nini usingizi hauwezi kushurutishwa?
  16. Funua (v.) – uncover/open something that was covered as opposed to fungua which is merely open.  Kwa nini Zakaria hakuwa amefunua macho yake saa nne asubuhi?
  17. kujitingisha (v.) – shake oneself (reflexive JI) – TINGISHA is the causative of TINGA which means shake (like a bottle, finger, etc)
  18. Upelelezi (n.) – (U class) – investigation, from peleleza (v.) – investigate. Kwa nini Regina alikwenda kwa Ndalo kupeleleza?
  19. Mkojo (n.) –  (mikojo – M/MI class) urine – from kojoa – urinate. Bigeyo alimdanganyaje mdogo wake ili kupata mkojo alioambiwa ajimwagilie mgongoni?
  20. Kopo (n.) – (makopo – JI/MA class) – vessel/container
  21. Kutakasa (v.) – purify/ make clean causative of takata (v. – be clean)
  22. Jini (n.) – (majini – JI/MA class) – djinn – mythical creatures
  23. Udaga (n.) – (U class) – cassava flour
  24. Zeze (n.) – (N/N class) – type of stringed instrument
  25. Ujanja (n.) – (U class) – shrewdness/slyness. Mtu mjanja – sly person (mjanja – adj.)
  26. Kupe (n.) (M/WA class – kupe in pl. so sometimes considered to be in N/N) – tick (in this context, metaphoric)

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Mazoezi ya Rosa Mistika Copyright © by Magdalena Hauner is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.