Sura ya kumi na moja [11]
81 Msamiati
- Chutama – crouch
- Mbolea – manure
- Kokwa – passive form of KOKA – kindle a fire
- Ubani – incense
- Beberu – he-goat
- Samli – ghee
- Bung’aa – be confused
- Hila – trick (n.)
- Kufua dafu – accomplish something
- Kichuguu – ant hill
- Chongea – slander
- Paramia – grasp/take hold of an opponent, in this context
- Saili – question (v)
- Ujasiri – courage
- Kuombwa kidole cha pete – to be engaged (for marriage)
- Kupiga mshale wa mwisho – try for the last time (like throwing the last arrow)
- Fununu – rumor
- Tengemaa – prosper/stabilize
- Mahaba – love, mapenzi.
- Kiri – admit/agree
- Kufa ganzi – be stupefied, in this context
- Kinai – have enough/be satisfied
- Upuuzi – nonsense/foolishness
- Randaranda – roam
- Lenga shabaha – aim for something
Feedback/Errata