Swahili
Working with advanced analyses
Soma kurudia ya kitabu cha Squatters and the Roots of the Mau Mau. Kama unafahamu kitabu, labda kusoma makala ya kitabu cha kiingereza kwanza, itangekukusadia na lugha ya Kiswahili.
Kanago’s Squatters and the Roots of the Mau Mau kinajadili kwamba msaada ya Mau Mau inategemea kwa sababu hali ya tabaka ya “squatters” kwa mwaka 1918 na badaaye. Mchango yake kubwa ni uchambuzi ya aina zingi ya hali watu walizozoea, ulio msingi ya hoja yake ya pili–kila wakikuyu waliopitisha harakati. Wakati wa sasa, labda ni wazi, lakini wazo la Kanago linakabili dhamira ya kabila lilio jamaa wa jumla wa Kikuyu, kama wanaanasi serekali ya ukoloni. Kanago anatumia habari ya mdomo zaidi ya kitu kinginie kueleza uzoefu wa squatter amboa kunasema hadithi ya sauti wao (p. 6). Pia ya mahojiano, anatumia hati ya serekali ya ukoloni, kuleta masomo yake kupitia ya kipindi cha kuacha ukoloni. Kwa sauti ya Marx, anaambia kwamba uhamasishaji kuelekea uhuru ulitegemea kwa sababu umoja wa “lumpen-proletariat” waliokuwa walijisikia uchovu vipimo vya ukoloni kunyonya kazi za kilimo na mji. Squatters, lakini, ni wahusika wakuu, na kwao, Kanogo anasema historia ambaye ni karibu ya kitabu cha Frederick Cooper, From Slaves to Squatters. Kanogo anafafanua jinsi ya sqauters waliendelea mazoea ya kazi yaliowasaidia kukwepa kujisalimisha kabisa kudhibiti kazi yao kutoka kwa nguvu ya ukoloni. Mwanzo wa karne irishini, kulikuwa na mbinu ya “laissez-faire” katika uchumi ya wakoloni, ambayo inaongeza nguvu kwa squatters kuwa na uhuru ya pesa. Lakini, mara ya kilimo wa wakoloni walielendelea, wakoloni walijaribu kushinikiza kazi ya uzalishaji na kazi iliendelea kuwa kukandamiza. Kulikuwa na hali ambayo yalisababisha harakati kwa Kanago. Kanago anaonyesha ufahamu ya ukoloni ubaya na uchumi hotari, na pia watu waliopiga uhuru kwa nguvu na jasho.