Swahili

Talking about myself and other people

olanipekun

 

Mama Dada Baba Rafiki Mwanafunzi
Mtoto Kaka Mwanamke Mjukuu Mwalimu
1. dogo little
2 refu tall
3 fupi short
4 embamba slender
5 ema kind
6 nene fat
7 vivu lazy
8 hodari/zuri good

Jina langu ni Toyin. Mimi ni mwanafunzi kiswahili. Mwalimu wangu ni Doreen. Doreen ni rafiku yangu. Yeye ni mwalimu mzuri. Mimi ni mfupi na mwembamba. Mama yangu ni mwalimu.  Yeye ni mrefu na mwembaba. Asante sana