"

Swahili

A closer, Swahili analysis of The Swahili

Nurse, Derek, Thomas Spear, and Thomas T. Spear. The Swahili: Reconstructing the history and language of an African society, 800-1500. University of Pennsylvania Press, 1985.

Katika Waswahili, Derek Nurse na Tom Spear walitoa mchango mkubwa wa historia ya Washwaili. Pamoja na taaluma ya lugha kihistoria, matokeo ya akiolojia, ethnografia ya kihistoria, na mila ya mdomo, wanashinikiza adhidi ya dhana maarufu za asili ya watu wa Kiswahili kama zinatoka kwa Shirazi ya Kiajemi na wanasema kuwa wao ni watu wa kiafrika. Wanazungumza lugha za kiarfrika na wanaadhimisha tamaduni za kiafrika amabazo ni kweli zilizoandaliwa na kubadilishwa ushawishi wa kigeni katika kipindi chote cha karne saba. Wasemaji wazuri wa Kiswahili katiki asili yao ya kibindadamu, wasomi wanapinga wazo kuwa linafikiria umoja wa jamii ya Kiswahili kuunda jamii zisizo za pwani ilikuwa ushawishi wa Waarabu. Kitabu kinafundisha kwamba kabila ni kitambulisho ambacho watu wanaendelea kwa muda mrefu, na wanatengeneza hadhithi kuelewa historia yao. Kwa kipindi chao, Nurse na Spear waliandika historio kubwa kutoa changamoto na wazo ambalo jamii barani Afrika ambazo kuna hisotrio na majengo ndefu, zina historio ya Kiarabu. Nurse na Spear anaonyesha kwamba Waswahili wana historia ya biashara na kubadilishana ndefu na walikuza jamii kubwa sana kwa karne nyingi.

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Resources for Self-Instructional Learners of Less Commonly Taught Languages Copyright © by University of Wisconsin-Madison Students in African 671 is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.

Share This Book