Swahili
Vyakula na Vinywaji
Learning Objectives
By the end of the lesson, you should be able to
- list food and drinks in Swahili
- ask questions and talk about meals.
Step 1: Study the food and drinks vocabulary below
Vyakula | Foods | |
1. | Wali | Rice |
2 | Maharaghwe | Beans |
3 | Ndizi | Plantain |
4 | Magimbi | Yam |
5 | Chapati | Pancake |
6 | Ugali | Corn porridge |
7 | Viazi | Potato |
8 | Maandazi | Buns |
9 | Pilau | Jollof Rice |
10 | mkate | bread |
11 | Mayai | Eggs |
12 | Mboga | Vegatables |
Vinywaji | Drinks | |
1. | Maji | Water |
2 | Chai | Tea |
3 | Maji ya matunda | Juice |
4 | kahawa | Coffee |
5 | Bia | Beer |
6 | Maziwa | Milk |
7 | Mvinyo | Wine |
Step 2:
Step 3: Exercise
- From previous lessons, how do you say:
-
-
- breakfast, lunch and dinner
- I want…
- Take….
-
- Talk about what you eat and do not eat, what you ate yesterday and what you will eat for dinner today.
Step 4: With a partner, simulate the dialogues below.
Dialogue 1
Speaker 1: Kifungua kinywa chako ni nini?
Speaker 2: Kifungua kinywa changu ni mkate. Na wewe je?
Speaker 1: Nina soseji na mayai ya kukaanga
Speaker 2: Una nini chakula mchana?
Speaker 1: nina wali wa kukaanga
Speaker 2: una kula na nani chakula cha mchana
Speaker 1: Ninakula chakula cha mchana na marafiki
Note that kukaanga is fried- mayai ya kukaanga fried eggs, wali wa kukaanga- fried rice
Dialogue 2
Conversation between the waiter (Muhudumu) and Toyin at the restaurant
Waiter: Karibu sana
Toyin: Asante, Habari za asubuhi?
Waiter: Njema
Toyin: Ninataka chai. Kuna chai na nani?
Waiter: Kuna chai na mkate, chapati, maandazi na vitumbua
Toyin: Bei gani?
Waiter: Chai ya rangi shilingi mia nane, chai ya maziwa shilingi elfu moja, chapati shilingi mia mbili, anadazi shilingi mia moja
Toyin: Ninataka chai na chapati
Baada ya kunywa chai
Toyin: Jumla ni shilinhi ngapi?
Waiter: Chai ya maziwa shilingi elfu moja, chapati ni shilingi mia mbili. Jumla ni shilingi elfu moja na mia mbili
Toyin: Chukua pesa
Waiter: Chukua chenji
Toyin: Asante, kwaheri
Waiter: Karibu tena
(Adapted from Furahia Kiswahili)
Questions: How do you ask for the price of something? Bei gani
Reference
Baraza la Kiswahili la Taifa (Tanzania). (2014). Furahia Kiswahili: Kiswahili kwa Wageni.