Swahili
Maamkizi: Swahili Greetings
olanipekun
(An exchange between Ms. Titi and her student, Toyin)
Mwalimu Titi: Hujambo Toyin
Mwanafunzi Toyin: Sijambo mwalimu, Shikamoo
Mwalimu Titi: Marahaba. Unaendeleaje
Mwanafunzi Toyin: Naendela vizuru.
(Two friends meet by chance on the street)
Titi: Mambo
Toyin: Vipi
Titi: Unaendeleaje?
Toyin: Naendelea vizuri sana. Kwaheri
(Two friends on different time zones are on a zoom call)
Titi: Habari za azubuhi
Toyin: Nzuri. Na wewe, Habari za jioni
Titi: Njema Unaendeleaje?
Toyin: Naendelea vizuri.
Titi: Sawa
(Doreen returns home and greets her roommate, Toyin and their friend, Titi)
Doreen: Hodi
Titi na Toyin: Karibu
Doreen: Habari za mchana, mafiki zangu
Toyin: Vizuri. Unaendeleaje
Doreen: Naendelea vizuri
Vocabulary
Habari za azubuhu/mchana/jioni- good morning/afternoon/evening
Nzuri/Njema/Vizuri- good
Karibu- Welcome