Acholi/Lwo
Nchi na Utaifa
African 331: First Semester Swahili
Topic: My Nationality
Performance Objectives:
By the end of this lesson, you will be able to state your nationality and where you were born.
Maneno Muhimu
- Nchi gani?…
- Nchi ya…
- Mzaliwa wa…
- Nchi ya Kenya
- Mimi ni mzaliwa wa Kenya
- Nchi ya Tanzania
- Mimi ni mzaliwa wa Tanzania
- Nchi ya Marekani
- Mimi ni mzaliwa wa nchi ya Marekani
Activity 1
Listen to Amani ni Tamu video and write down any five words you can hear and recognize.
Mazungumzo (Dialogue)
- Baraka: Hujambo Amina?
- Amina: Sijambo!
- Baraka: Unatoka nchi gani?
- Amina: Ninatoka nchi ya Marekani.
- Baraka: Wewe ni mzaliwa wa Marekani?
- Amina: Ndio, mimi ni mzaliwa wa Marekani. Na wewe?
- Baraka: Mimi ni mzaliwa wa Tanzania.
- Amina: Sawa, asante.
- Baraka: Karibu!
Activity 2: Pair-work
- Jina lake ni nani?
- Anatoka nchi gani?
- Yeye ni mzaliwa wa wapi?
- Sasa anaishi wapi?
- Anasoma wapi?
Activity 5: research; write
Do some basic research on the internet about any celebrity or famous person of your choice. Using this google doc, write a brief biography of the person including some information about their countries and nationalities.