"

Swahili

Reading Comprehension Jina la Mwalimu

olanipekun

Learning Objectives

By the end of the lesson, you should be able to:

  1. read, comprehend, and talk about the passage;
  2. answer the questions that follow; and
  3. talk about the vocabulary and grammatical structures used in the passage.

Jina la Mwalimu

Mzee Juma na mtoto mmoja wa shule wanaamkiana na kuzungumza juu ya mgeni. Mtoto anasema, ‘Shikamoo, mzee, u hali gani? Mzee anaitika, ‘ Mimi mzima, asantr; wote nyumbani hawajambo?’ ‘Ndiyo, wote hawajambo,’ anajibu mtoto, ‘kuna mgeni nyumbani sasa.’ Basi, mzee anauliza sasa, ‘Je, mgeni ni nani? Yeye ni mtu wa Mombasa?’ Mtoto anajibu, ‘Hapana, yeye ni mwalimu wa Chuo cha Elimu ya Watu Wazima cha Dar es Salaam; anafundisha huko.’ Mzee anauliza sasa, ‘Je, jina lake ni nani?; ‘Jina lake ni Abdul Ali’ mtoto anajibu. Basi, baada ya kuzumgumza kidogo juu ya mwalimu, wanaagana na kusema kwa heri.

(Extracted from Kiswahili  msingi wa kusema, kusoma na kuandi by Hinnebusch, T.J. & Mirza, S.M.)

Step 1: Read the passage aloud twice.

Step 2: Talk about the main gists of the passage.

Step 3: Write down all the verbs and describe the components

Mzee Juma na mtoto mmoja wa shule wanaamkiana na kuzungumza juu ya mgeni. Mtoto anasema, ‘Shikamoo, mzee, u hali gani? Mzee anaitika, ‘ Mimi mzima, asante; wote nyumbani hawajambo?’ ‘Ndiyo, wote hawajambo,’ anajibu mtoto, ‘kuna mgeni nyumbani sasa.’ Basi, mzee anauliza sasa, ‘Je, mgeni ni nani? Yeye ni mtu wa Mombasa?’ Mtoto anajibu, ‘Hapana, yeye ni mwalimu wa Chuo cha Elimu ya Watu Wazima cha Dar es Salaam; anafundisha huko.’ Mzee anauliza sasa, ‘Je, jina lake ni nani?; ‘Jina lake ni Abdul Ali’ mtoto anajibu. Basi, baada ya kuzumgumza kidogo juu ya mwalimu, wanaagana na kusema kwa heri.

  1. wanaamkiana  wa-na-amkiana They greet one another
  2. kuzumgumza ku-zumgumza to converse
  3. anaitika a-na-i-tika he answers
  4. anauliza a-na-u-liza he asks
  5. anafundisha a-na-fundisha he teaches
  6. wanaagana wa-na agana they said goodbye to one another
  7. kusema ku-sema to say

Step 4: Talk about the nouns and the classes they belong to and how they have been conjugated.

Mzee Juma na mtoto mmoja wa shule wanaamkiana na kuzungumza juu ya mgeni. Mtoto anasema, ‘Shikamoo, mzee, u hali gani? Mzee anaitika, ‘ Mimi mzima, asante; wote nyumbani hawajambo?’ ‘Ndiyo, wote hawajambo,’ anajibu mtoto, ‘kuna mgeni nyumbani sasa.’ Basi, mzee anauliza sasa, ‘Je, mgeni ni nani? Yeye ni mtu wa Mombasa?’ Mtoto anajibu, ‘Hapana, yeye ni mwalimu wa Chuo cha Elimu ya Watu Wazima cha Dar es Salaam; anafundisha huko.’ Mzee anauliza sasa, ‘Je, jina lake ni nani?; ‘Jina lake ni Abdul Ali‘ mtoto anajibu. Basi, baada ya kuzumgumza kidogo juu ya mwalimu, wanaagana na kusema kwa heri.

  1. Mzee- Elder
  2. mtoto mmoja wa shule- one school student
  3. mgeni- visitor
  4. Chuo cha Elimu watu wazima cha Dar es Salaam- Dar es Salaam College of Adult Education
  5. jina- name
  6. Abdul Ali

Step 5: Read and answer these questions below-

Maswali

  1. Je, mgeni ni mtu wa Mobasa?
  2. Mgeni ni nani?
  3. Jina lake ni nani?
  4. Jina la mzee ni nani?
  5. Jina la mwalimu ni nani?

 

 

 

License

Icon for the Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License

Resources for Self-Instructional Learners of Less Commonly Taught Languages Copyright © by University of Wisconsin-Madison Students in African 671 is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License, except where otherwise noted.

Share This Book