Swahili
Talking about myself and other people
olanipekun
Mama | Dada | Baba | Rafiki | Mwanafunzi |
Mtoto | Kaka | Mwanamke | Mjukuu | Mwalimu |
1. | dogo | little |
2 | refu | tall |
3 | fupi | short |
4 | embamba | slender |
5 | ema | kind |
6 | nene | fat |
7 | vivu | lazy |
8 | hodari/zuri | good |
Jina langu ni Toyin. Mimi ni mwanafunzi kiswahili. Mwalimu wangu ni Doreen. Doreen ni rafiku yangu. Yeye ni mwalimu mzuri. Mimi ni mfupi na mwembamba. Mama yangu ni mwalimu. Yeye ni mrefu na mwembaba. Asante sana