Swahili
Reading Practice 1: Julius Nyerere Speech
Siku ya Mashujaa | Heroes’ Day
Hapa utafuta hotuba ya rais wa kwanza nchini Tanzania, Julius K. Nyerere kutoka mwaka 1979. Nyerere alikuwa rais badaay ya Uhuru na alitengeneza mradi ya nchi inaitwa Ujamaa. Tanzania ilikuwa inakuwa historia ya amani hasa kunganishwa nchi tofauti dunaini. Nyerere alipa hotuba kuonyesha heshima kwa likizo ya taifa. Siku ya Mashujaa ni likizo nchini Tanzania kueleza shukran kwa mashujaa wa taifa katika historia ya vita mkoani. Kwa hotuba, Nyerere alianza kushukuru watu waliopigania uhuru ya nchi, kwanza katika vita vya Maji Maji dhidi ya Kijerumani, ya pili kupata uhuru Kiuingereza, na tena kumacha majeshi ya Idi Amin waliojaribu kuchukua sehemu kubwa kwa Tanzania. Anaendelea kueleza mradi ya maendeleo warai na serekali ilitekeleza na masuala wanaendelea kupambana nayo, kama bei ya mafuta na utenganishaji kati ya maofisa ya nchi wanoishi mjini na raia vijijini kwa mbali. Soma zaidi ya chanzo kujifunza unavyoelewa!
Here you’ll find a speech from the first Tanzanian President, Julius K. Nyerere from 1979. Nyerere was the president after Independence and the creator of the national socialist project, called “Ujamaa.” Tanzania has had a peaceful history, especially compared to other nations throughout the world. Nyerere gave the speech in honor of a national holiday. Heroes Day is a Tanzanian holiday to express gratitude for the heroes of the nation throughout the region’s history of wars. In the speech, Nyerere starts to appreciate the freedom fighters who garnered the nation Independence, first in the Maji Maji war against the Germans, then to achieve freedom from the British, and again to stop Idi Amin’s army from taking a large part of Tanzania. He goes on to explain the development project that the citizens and government has achieved as well as the issues they continue to confront, such as the price of oil and the distance between officers of the state who live in the cities and the citizens in far away villages. Read more of the source to see what you understand!
Use the vocabulary practice flashcards below to prepare for the quiz at the bottom of the page to test what you’ve learned!